USAID Kijana Nahodha Project
Kuimarisha uwezeshaji, uzalishaji, na ushiriki wa jamii wa vijana — ikilenga vijana wasio shuleni wenye umri wa miaka 15-25, vijana wasio na ajira, wenye ulemavu, mama vijana, na wakazi wa maeneo ya mijini, kando ya miji, na vijijini, kwa muda wa miaka minne.

