Skip to main content

Taasisi ya Vodacom Tanzania Yatangaza Nafasi 1,000 za Ufadhili wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (T-VET)

Taasisi ya Vodacom Tanzania Yatangaza Nafasi 1,000 za Ufadhili wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (T-VET)

Taasisi ya Vodacom Tanzania Yatangaza Nafasi 1,000 za Ufadhili wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (T-VET)

Kuwawezesha vijana wa Kitanzania kupitia elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwa kutoa ufadhili 1,000 utakaowawezesha kukuza ujuzi na kujiandaa kwa fursa za ajira na maendeleo ya taaluma zao.

Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Don Bosco inatoa fursa za ufadhili wa masomo ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi katika ngazi ya NTA level 4 katika chuo choa Don Bosco Dodoma TTC na chuo cha Don Bosco KIITEC Arusha. Waobaji wote mnaweza kuomba kwa kupia QR code zilizopo kwenye galari ya picha.